Thursday, April 19, 2012


"Unasikia mapigo ya Moyo wangu?.... Ni vema ujue kuwa nimekuchagua wewe Pekee......Mwenyezi Mugu atulinde na alinde pendo familia yetu milele    Amen..."

Saturday, April 14, 2012

Sura Nzuri, Mavazi Mazuri, na kila kitu ni chema kabisa.......
Furaha iliyojaa nyuso zenu ipambe mioyo yenu siku zote za maisha yenu,
 Mkawalee vema watoto mtakaopewa na bwana ili wakamilishe furaha yenu milele...
Aliyounganisha Mungu, Mwanadamu asiyatenganishe...
Hongera Sana Emmanuel na  Maria..
Ni furaha iliyoje ...Kumpata mwenza anayeukonga Moyo wako...
Furaha hii inatiwa Muhuri na Mwenyezi Mungu na kuwa tukio la kukumbukwa Milele!...
Hongera Sana Bwna Michael na Bibi Elizabeth..
Mungu awape Baraka tele na kila furaha katika ndoa yenu!