Saturday, April 14, 2012

Ni furaha iliyoje ...Kumpata mwenza anayeukonga Moyo wako...
Furaha hii inatiwa Muhuri na Mwenyezi Mungu na kuwa tukio la kukumbukwa Milele!...
Hongera Sana Bwna Michael na Bibi Elizabeth..
Mungu awape Baraka tele na kila furaha katika ndoa yenu!


1 comment:

  1. Hureeee......

    Umempata wako leo dadaaa! Mungu awalinde sana!

    ReplyDelete